MWANAMUZIKI NIKKI WA PILI AGUSWA NA MATOKEO YA UDIWANI...AFUNGUKA HAYA

Share it:



Baada ya Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani Mwanamuziki Nikki wa Pili ameandika haya:
Democrasia ni uhuru wa watu kushiriki kujiamulia hatma ya maisha yao, sio kushiriki kupiga kura alafu baada ya hapo hatma inakuwa mikononi mwa watu wachache wanaa amuwa wapendavyo na wengi hawana kauli hamna hata nafasi ya kuhoji #illusion ya democrasia wakilishi
Share it:

JOEL MADUKA

BURUDANI

Post A Comment:

Also Read

WANAUME 800 WAFANYIIWA TOHARA GEITA

Baadhi ya vijana waendesha Piki piki (Boda boda)Wakionesha mfano wa namna mwanaume anaweza kujikinga na maambukizi ya

JOEL MADUKA