TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII

Share it:











Kwa mujibu wa Kaimu Meneja Uhusiano wa TANESCO, Bi. Leila MAJIRA ya saa 7:20 leo hii Alhamisi Novemba 30, imetokea hitilafu kwenye Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha umeme kukatika takriban kwenye mikoa yote iliyounganishwa kwenye Gridi hiyo.

Muhaji, mafundi na wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO wameanza kufuatilia kujua chanzo chake hasa ni nini na taarifa Zaidi zitatolewa kila baada ya muda ili kuufahamisha umma na watuamiaji wa umeme.
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

JESHI LA POLISI MKOA WA GEITA LIPO IMARA KUDHIBITI UHALIFU NA MAANDAMANO APRILI 26

Jeshi  la polisi mkoani Geita , limewataka  wananchi  katika kuelekea   siku kuu ya pasaka

JOEL MADUKA