VIDEO: BEN KINYAIYA ASELEBUKA NA WAREMBO BACK STAGE!

Share it:
Ben Kinyaiya, ni mtangazaji wa kipindi cha 'Mama Land' kilichopo Clouds Media .Pia ni msanii wa Muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutoa ngoma zake ikiwa ni pamoja na wimbo uitwao 'Fire'.

 Huu ni usiku wa tukio lililo fanyika mwaka 2017 ambapo kulikuwa na shindano la kumssaka Mrembo Asilia 2017 Kunduchi. Ben Kinyaiya alikuwa ni MC wa Shindano hilo, hivyo ilikuwa ni fursa nzuri kwake kuweza kufika Back Stage na ku-show love na warembo wote walio kwenda kushiriki shindano.

Share it:

JOEL MADUKA

VIDEO NA MADUKA ONLINE

Post A Comment:

Also Read

BABA AHUKUMIA JELA MIAKA MINNE KWA MIMBA BINTI YAKE

Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Tabora imemhukumu mkazi wa Manispaa ya Tabora, Sadick Masunzu (47) kifungo cha mi

JOEL MADUKA