WATOTO WAWILI WAMEFARIKI KUTOKANA NA MVUA INAYONYESHA CHATO

Share it:
Mvua kubwa iliyonyesha katika kijiji cha Mwekako kata ya Kasenga wilayani Chato mkoani Geita imesababisha vifo vya watoto wawili na kuharibu mali.

Diwani wa Kata ya Kasenga, Damian Vilarie amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kusema mvua imesababisha uharibifu wa miundombinu ya barabara. 

Amesema mvua hiyo iliyonyesha kwa saa tatu jana Alhamisi Januari 11 ilisababisha mafuriko yaliyowasomba watoto wawili wa mzee Kurwa waliotoka soko la Igalula kununua bidhaa za nyumbani.

Amesema watoto hao mmoja anakadiriwa kuwa na miaka 13 na mdogo miaka mawili.
Share it:

JOEL MADUKA

matukio

Post A Comment:

Also Read

WAVUVI KATA YA NKOME WALALAMIKIA KUONEWA NA WATU KUTOKA IDARA YA UVUVI

Wavuvi wa mwalo wa Makatani kata ya Nkome  wilayani Geita wakiendelea na maandalizi kwaajili ya kwenda kwenye shu

JOEL MADUKA