 |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. January Makamba hii leo amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda
Biashara na Mazingira. Kikao hicho kimejumuisha pia wajumbe kutoka Wizara ya
Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambapo Mhe. Makamba amewasilisha taarifa ya
Utekelezaji wa agizo la kutotumia mifuko ya plastiki nchini.

Mhe. January Makamba (Kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na
Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira hii leo mjini Dodoma.
|
 |
Sehemu ya waheshimiwa wabunge, Mhe. Mussa Ramadhani Sima na
Mhe. Anatropia Lwehikila Theonest wakifuatilia mawasilisho juu ya Utekelezaji
wa agizo la kutotumia mifuko ya plastiki nchini, katika kikao cha Kamati ya
Viwanda, Biashara na Mazingira mjini Dodoma.
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. January Makamba hii leo amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda
Biashara na Mazingira. Kikao hicho kimejumuisha pia wajumbe kutoka Wizara ya
Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambapo Mhe. Makamba amewasilisha taarifa ya
Utekelezaji wa agizo la kutotumia mifuko ya plastiki nchini.
Post A Comment: