SHANGWE ZA 88.9 STORM FM MIAKA MIWILI KWENYE KASI ZAIDI PICHA MTAANI NA WADAU MBALI MBALI

Share it:
Moja kati ya maeneo ya Katoro Stendi KivaT akijaribu kupiga story mbili tatu na wasikilizaji wa 88.9 Storm fm.

Mazungumzo yanaendelea kujua ni kipi ambacho wanajivunia kwa miaka miwili ya STORM FM.

Mzee wa Pekuzi ya mtaa kwa mtaa Joel Eva akijaribu kumiskiliza moja kati ya wasanii walihopo mji mdogo wa katoro.

Picha ya pamoja na Swaga Boy nakati ya katoro mojaaaaaaa....

Mwenyekiti wa chama cha madereva Mkoani Geita,Faustine John akiteta jambo juu ya uwepo wa Storm fm Mkoani Geita.
Harakati za Super Shine na Baby Mama zikiendelea Mitaani kama unavyoona .....

Dah,hapa kama vile alikuwa akimvisha T-shert ya 88.9 Storm fm 

Paul Bahebe mzee wa Gospel Revival akionesha upendo na wadau kwa kutoa zawadi ya T-shert.

Zawadi bado zinaendelea kutolewa...

Kikosi kazi kikiwa katika ubora wake .

Zero Distence Mariam Jumanne akiwakilisha vyema na wadau wa 88.9 Storm fm pande za Buzirayombo.

Nembo kubwa sio kitoto ikibandikwa pande za maeneo ya Buzirayombo na Mariam Jumanne.



"Tunasikiliza 88.9 Storm fm Sauti ya Geitaaaaaa"










Niharakati za miaka miwili ya 88.9 Storm fm ambapo tumepanga kukufikia popote ulipo kuzungumza na wewe lakini pia kukupatia zawadi wewe msikilizaji wetu ambae umekuwa ukitufatilia kwa umakini zaidi kikubwa usiache kutegea sikio Storm fm ujui ni lini utakutana na zawadi."STORM FM FUNGUKA JITAMBUE ANZA SASA"
Share it:

mastaa

Post A Comment: