| Wananchi waliofika katika uzinduzi wa albamu ya nani kama mama ya Hondwa Mathias wakifatilia kwa makini burudani zilizokuwa zikiendelea katika viwanja vya ccm kirumba jijini Mwanza. |
| Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini kutoka Dar es Salaam,Ikupa Mwambeja akiwa sambamba na Emmanuel Mgaya(Masanja) na Moses Mkoko wakiimba kwa pamoja wilmbo husemao adonai. |
| Ambwene Mwasongwe akiimba wimbo wa misuli ya imani pamoja na masanja katika uzinduzi wa Hondwa Mathias. |
| Ambwene Mwasongwe Akiwapagawisha mashabiki wake katika uwanja wa ccm kirumba jijini Mwanza. |
| Mshehereshaji wa shughuli hiyo Masanja Mkandamizaji akizungumza na waimbaji Bahati Bukuku,Ambwene na Christophe Mwangila,kuhusu kuchangia |
| Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi Emmy Mshana akisoma Risala mbele ya mgeni Rasmi. |
| Hondwa Mathias akiimba nyimbo iliyobeba albamu ya nani kama mama kwenye viwanja vya ccm Kirumba. |
| Mwandishi wa madukaonline blog,akizungumza na mratibu wa tamasha la uzinduzi huo,Peter Abdallah kujua kilichotokea kwenye tamamsha hilo. |
| Bahati Bukuku akiwa jukwaani. |
| Manonga classic mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka mwanza akiwa jukwaani. |
| Mwandishi wa Blog Promovertz,Jacktani Msafiri akichukua matukio ya picha katika uzinduzi huo. |
| Chirstopher Mwangila akiimba wimbo wa Mungu ni Mungu. |
| Kundi la waimbaji kutoka mwanza kihayile group wakiongozwa na Vannesa Laban jukwaani. |
| Wadau wakiwa katika mapozi wakifatilia kwa umakini tukio la uzinduzi. |

Post A Comment: