MGOSI:TUPO TAYARI KUIKABILI STEND UNITED

Share it:
 Tokeo la picha la mgosi simba
Simba wamesema wako tayari kwa ajili ya mechi ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, kesho Meneja wa Simba, Mussa Hassan Mgosi amesema vijana wake wanataka kushinda ili kuendeleza rekodi ya ushindi.Tokeo la picha la mgosi simba
“Wote tunajua ni mechi ngumu lakini wachezaji wa Simba wanataka kushinda. Sisi tunataka kufanya vema na kama ni ubingwa tunajua utapatikana na uhakika wa pointi tatu.

“Tumejipanga kushinda tena licha ya kuwa tunacheza ugenini,” alisema Mgosi ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Simba.



Katika mechi ya mwisho, kwenye uwanja huo, Simba iliitandika Mwadui FC kwa mabao 3-0.
Share it:

JOEL MADUKA

michezo

Post A Comment:

Also Read

MILIONI 173.5 ZATOLEWA KWENYE VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU GEITA

Mkuu wa mkoa mhandisi Robert Gabriel akikabidhi hundi ya fedha kwa Mwenyekiti wa kikundi cha walemavu cha Ludete Bw,Ju

JOEL MADUKA