Mkuu wa Wilaya ya Mbongwe Mathar Mkupasi akisoma taarifa ya ardhi na maendeleo ya ukusanyaji wa mapato ambayo yanatokana na ardhi pamoja majengo yaliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya Hiyo. |
Watumishi wa halmashauri ya Mboongwe pamoja na kamati ya Ulinzi na usalama wakifuatilia kikao cha Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbongwe Elias Kayandabila akionesha mchoro na ramani ya nyumba ambazo zinatarajia kujengwa na shirika la Nyumba la Taifa. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbongwe Elias Kayandabila akikabidhi ramani kwa meneja wa shirika la Nyumba Mwanza,Simiyu na Geita Mhandisi Benedict Kilimba . |
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akikagua mafaili kwenye ofisi za Ardhi za Wilaya hiyo. |
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akiangalia ramani ya Kijiji cha Bukandwe ambacho kipo kwenye Wilaya ya Mbongwe Mkoani Geita. |
Mkuu wa Wilaya ya Mbongwe Mathar Mkupasi akiagana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula wakati alipotembelea kijiji cha Bukandwe. |
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe ,Josephat Maganga akisoma taarifa fupi ya Wilaya ya Bukombe kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. |
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akikagua na kupatiwa maelezo na afisa ardhi mteule Joseph Kimondo . |
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula ,akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Bukombe. |
Post A Comment: