Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalum ya
Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalumu ya
Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipitia Taarifa ya Kamati Maalum ya
Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi na Tanzanite mara baada ya
kukabidhiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kupokea
Taarifa ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi na
Tanzanite Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Taarifa hiyo kwa Mkuu wa
Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa mkono Mkuu wa Majeshi Jenerali
Venance Mabeyo mara baada ya kumkabidhi Taarifa hiyo ambayo aliwakabidhi
pia viongozi wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam
Alhadi Mussa Salum akipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia mara baada ya
kukabidhiwa Taarifa hiyo ya Uchunguzi.
Wabunge wa Kamati Maalum ya
Uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite nao wakipiga
makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Taarifa hiyo ya
Uchunguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge
iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia
waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara
ya Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha
ya pamoja na Wajumbe wa Kamati hizo za uchunguzi pamoja na Viongozi wa
Vyombo vya Ulinzi na Usalama Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge
iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia
waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara
ya Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha
ya pamoja na Wajumbe wa Kamati hizo za uchunguzi Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa Wajumbe wa
Kamati hiyo ya Uchunguzi wa Madini David Silinde Ikulu jijini Dar es
Salaam.
PICHA NA IKULU
Post A Comment: