UPENDO PENEZA AKANUSHA KUHAMIA CCM

Share it:




 Upendo Peneza amekanusha uvumi kuwa anampango wa kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kwamujibu wa Peneza amesema hana sababu za kuhama chama chake na amewashangaa wabunge wanaofanya hivyo.
Peneza pia amewataka wananchi kutowachagua wabunge ambao wamejiuzulu hivi karibuni kama watarudi kuwaomba kura kupitia vyama vyao vipya.

“Nachukizwa na uvumi huu nachukizwa na tabia hii ya watu kujiuzulu katikati ya safari na kuwaongezea wananchi gharama ya nyongeza,” amesema Peneza.
Mbunge huyo amewataka wabunge wenzie waunge mkono mazuri na kupinga mabaya ndani ya vyama vyao na wakumbuke kuwa waliomba ridhaa za wananchi na kodi zao ndizo zilizowafikisha walipo.
Share it:

JOEL MADUKA

SIASA

Post A Comment:

Also Read

MGODI ULIOUA WACHINA WAFUNGWA GEITA

Mgodi  wa dhahabu katika Kijiji cha Nyamtondo wilaya na mkoani Geita umefungwa baada ya raia wawili wa Chin

JOEL MADUKA