Share it:
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE
                                                                                  OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI (W),
                                                                                                                                        S.L.P 02,
                                                                                                                                         USHIROMBO,
                                                     BUKOMBE.

               TAARIFA KWA UMMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Anapenda Kuwataarifu Wananchi wote wa Wilaya ya Bukombe kuwa tarehe07/09/2016hadi tarehe 08/09/2016.

Jumla ya Wanatahiniwa 3975 watafanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Wasichana wakiwa 2062 na Wavulana1913.

Shule za Serikali 75 na shule ya Binafsi 1 Jumla ya Shule 76 kwa Mwaka huu zinataraji wa kufanya Mitihani ya darasa la Saba WilayaniBukombe.

Hivyo Ukiwa Kama Mzazi, Mlezina Jamii ya Bukombe ni  jukumu Letu kuwa ombea Wanafunzi wetu wa Darasa la Saba Mtihani Mwema Mungu akawaongoze kufanya Vyema.Pia Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya Wilaya Anasisitiza watahini

Kufuata taratibu zote watakazo elekezwa na wasimamizi na kuwa watulivu kipindi chote cha kufanya Mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi
_Nawatakiakilakheri.
Imetolewana;
AfisaHabari
BUKOMBE.
06/09/2016


Share it:

habari

matukio

Post A Comment: