| Kwaya ya AIC chang'ombe kutoka Dar es salaam wakihudumu kwa njia ya uwimbaji kwenye uzinduzi huo. |
| Mshareheshaji wa shughuli ya uzinduzi wa kwaya ya vijana Geita,Emmanuel Mgaya(Masanja makandamizaji)akiburudika wakati kwaya ya CVC ilipokuwa ikimba. |
| Fundi mitambo wa kwaya ya CVC Peter Ndoa akiweka mitambo sawa. |
| MC,Jonathani Masele akiendelea na shughuli ya kusherehesha kwenye uzinduzi wa Geita Vijana album ya tatu ambayo inaitwa SIKIA |
| Wanakwaya wa AIC Geita vijana wakiingia kwenye jukwaa kwaajili ya kutambulisha album yao. |
| Mgeni Rasimi katika shughuli ya uzinduzi huo mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akikabidhiwa shughuli ambayo ilikuwa ikizinduliwa siku ya leo. |
| Mgeni Rasimi Mkuu wa wilaya ya Geita akicheza na kuimba na mwimbishaji wa kwaya ya Geita vijana. |
| Diwani wa kata ya Buseresere wilaya ya Chato ,Godfrey Miti akitoa neno wakati alipokuwa akitoa mchango kwaajili ya kusapoti kazi hiyo ambayo imezinduliwa. |

Post A Comment: