| Msimamizi mkuu wa kituo cha ORICA Mkoani Geita,Yahya Puyaga akimkabidhi Mganga mfawidhi wa kituo cha afya cha nyakumbu ,Abdallah Amiry Kiroboto . |
| Msimamizi mkuu wa kituo cha ORICA Mkoani Geita,Yahya Puyaga,akielezea zumuni la kutoa msaada. |
| Mganga mfawishi wa kituo hicho akipokea kipimo cha kupimia kisukari kutoka kwa,Msimamizi mkuu wa kituo cha ORICA Mkoani Geita,Yahya Puyaga |
| Msimamizi msaidizi wa Kampuni ya ORICA Mhandisi Paschal Malugu ,akimkabidhi kifaa moja wapo cha tiba |
| Yahya Puyaga akikabidhi shuka 30 ambazo wamezitoa kwenye kituo cha afya cha nyakumbu. |
| Yahya Puyaga akikabidhin risti ya manunuzi ya vifaa hivyo kwa mganga mfawidhi wa kituo hicho. |
| Mganga mfawidhi wa kituo cha afya cha nyakumbu ,Abdallah Amiry Kiroboto akishukuru baada ya kupokea msaada huo. |
| Mganga mfawidhi wa kituo cha afya cha nyakumbu ,Abdallah Amiry Kiroboto akizungumzia msaada huo ambavyo utaweza kurahisisha kazi zao. |
| Msimamizi msaidizi wa Kampuni ya ORICA Mhandisi Paschal Malugu akielezea dhumuni la kutoa misaada hiyo. |
| Baadhi ya vifaa vilivyotolewa. |
| Wafanyakazi wa kampuni ya ORICA pamoja na watumishi wa kituo cha afya cha nyakumbu wakiwa katika picha ya pamoja. |

Post A Comment: