| Mhelimishaji Rika,Fadhili Mzavah ,akitoa elimu juu ya athari za maambukizi ya virusi vya ukimwi katika shule ya Geita Sekondari. |
| Wanafunzi wa Geita Sekondari wakifuatilia Semina kwa umaki zaidi. |
| Meneja wa kituo cha Radio cha Storm Fm Modesta Mselewa ,akiendelea kutoa maelekezo ya namna ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi. |
| Mhelimishaji Rika,Fadhili Mzavah ,akiwaelekeza wanafunzi kanuni ambazo wanatakiwa kuzifuata ili wasiweze kujiingiza kwenye vishawishi vya mapenzi. |
| Mhelimishaji Rika,Fadhili Mzavah ,akiwachangamsha vijana. |

Post A Comment: