Usiku wa Robson Mkesha Na Miss Penina Mkama wafana.

Share it:

Maharusi wakiingia kanisani kwaajili ya kufunga pingu za maisha pamoja na wasindikizaji wao.



Bwana Harusi Robson Mkesha na Bibi Harusi Penina Mkama.
Mch,Dr Danie Kulola akiendelea na ibada ya Ndoa.


Mch,Danie Kulola akionesha Pete ambazo ndio ishara ya kufunga pingu za maisha.

Bwana harusi akimvisha Pete Bibi Harusi.

Mch,akizibariki pete walizovishana maharusi .

Hiki ndio cheti cha Ndoa.

Bi,harusi akikabidhiwa cheti cha ndoa.
Shangwe za ukumbini wakati maharusi wakiwa wanaingia katika ukumbi wa maendeleo house.

Wakati wa kuwapongeza maharusi ukawadia.
Ukumbi ukiwa umependeza kweli kweli.


Na Joel Maduka.

Septemba 04, 2016  siku ya jana ilikuwa siku njema kwa waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, Bwana Robson Mkesha Baliyanga na Miss Penina Mkama, baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola.


Baada ya ndoa, Hafla ilifanyika kwenye Ukumbi wa Maendeleo House Jijini Mwanza, kama picha inavyoonesha maharusi wakiingia Ukumbini.

J Maduka ,Blogspot pamoja na wadahu wote ,wanawatakia maisha mema na yenye baraka katika ndoa yao zaidi upendo na amani vitawale katika nyumba yao.




Share it:

mastaa

matukio

Post A Comment: