MATOKEO YA LIGI KUU TANZANIA BARA.(VPL)

Share it:





Mchezo kati ya Yanga na Ndanda FC umemalizika katika dimba la Nangwanda sijaona Mkoani Mtwara,Dk 90 zikikamilika huku timu zote zikitoka sare ya bila bila na kuambulia kugawana point moja moja.



Share it:

matukio

michezo

Post A Comment: