| Maandamano yakitokea kwenye ofisi za Halmashauri ya mji wa Geita Kuelekea Kwenye viwanja vya Kalangalala kwaajili ya sherehe za Mei Mosi Mkoani Geita. |
| Wafanyakazi wa Mgodi wa dhahabu wa Geita wakiwa na Bango lililoandikwa kauli mbiu ya Kitaifa. |
| Emmanuel Ibrahim,ambaye ni mwandishi wa Habari wa Clous Tv na Radio Pamoja na Esthar Sumira wa Azam Tv Mkoani Geita wakiwa kwenye maandamano ya mei mosi. |
| Mwandishi wa Habari wa Star Tv Bi,Salma Mrisho kwenye majukumu ya kikazi. |
| Mgeni Rasmi Pamoja na viongozi wa vyama vya wafanyakazi Mkoani Geita wakipokea maandamano. |
| Wakala wa Bara bara Mkoani Geita wakipita mbele ya mgeni Rasmi. |
| Wafanyakazi wa shirika la umeme Tanesco Mkoani Geita wakipita mbele. |
| Katibu Tawala wa Wilaya ya Geita Thomas Dimme akiwakaribisha wageni waalikwa. |
| Meza kuu ni Kamati ya ulinzi na usalama wakijitambulisha. |
| Mwenyekiti wa TUGHE Mkoa wa Geita Mr Komba akielezea juu ya mikakati ya wafanyakazi kufanya kazi kwa Bidii na maarifa ili kutimiza Malengo ambayo wamejipangia. |
| Mgeni Rasmi akiwa kwenye Banda la Mgodi wa dhahabu wa Geita na hakipatiwa maelezo juu ya shughuli zinazofanyika kwenye mgodi huo. |
| Afsa mahusiano kwa wateja wa Tanesco Bi,Emma akielezea shughuli ambazo wanazifanya kwa mgeni Rasmi. |
| Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Gedita,Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akikagua banda la kikosi cha zima moto mkoani Geita. |
| Katibu wa TUGHE Mkoani Geita Ethel Kahuluda akielezea changamoto ambazo zinawakabili watumishi kwenye shughuli ambazo wanazifanya. |
| Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akizungumza na wananchi ambao walifika kwenye viwanja vya Kalangalala Mjini Geita. |

Post A Comment: