Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl,Herman Kapufi akiongoza wananchi kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Geita. |
Mazoezi yakiendelea kwa wananchi |
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi akiendelea kuelekeza mazoezi mbali mbali ya viungo. |
Mkurugenzi wa Mazoea GYM ,Bi Mazoea Salum akielezea juu ya ushiriki wa wanawake kutokupenda kujitokeza kwenye mazoezi ya viungo. |
Mwalimu wa mazoezi ambaye anatokea mazoea Gym Valence Ibrahim akizungumzia juu ya kuendelea wananchi kujitokeza kufanya mazoezi kila siku ya jumamosi. |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita.Mhandisi Modest Aporinaly akisisitiza wananchi kujenga Desturi ya kufanya Mazoezi. |
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mazoea GYM ,Bi Mazoea Salum amesikitishwa na idadi ndogo ya wanawake pamoja na mabinti kwenye mazoezi na kuwataka kujitokeza kwa wingi zaidi kila siku ya jumamosi hili na wao pia waweze kuhimalisha afya zao.
Post A Comment: