| Eneo la mitambo ya uzalishaji wa maji ambayo hipo kijiji cha Nungwe. |
| Fundi wa mitambo ya maji kutoka mgodi wa dhahabu wa Geita,(GGM)Denis Domician akitoa maelezi namna ambavyo maji yamekuwa yakitibiwa kabla ya kusambazwa kwa watumiaji mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Geita. |
| Fundi wa mitambo ya maji kutoka mgodi wa dhahabu wa Geita,(GGM)Denis Domician akitoa maelezo namna ambavyo maji yamekuwa yakipita na kutibiwa kwenye sehemu ambazo zimetengwa. |
| Eneo la kutibia maji. |
| Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Gabriel pamoja mhandisi wa maji wa Geuwasa wakitoa maelezo ya namna ambavyo Tanki hilo limekuwa kikifanya kazi wakati alipotembelea kwenye tanki hilo. |

Post A Comment: