![]() |
| Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalla Ulega akiteketeza nyavu haramu zilizounganishwa 21710 zenye macho madogo,makokolo ya Sangara 695,Timba 690,makokoro ya dagaa 90 wilayani Chato. |
![]() |
| Naibu waziri wa Mifungo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Mwembeni pamoja na watumishi na viongozi kuacha kuendelea na tabia ya kushirikiana na wavuvi haramu. |




Post A Comment: